Starting from Free
Get enrolled
Learn more
Has discount
Made in

English
Last updated at

Mon, 20-May-2024
Level
Intermediate
Total lessons

20
Total duration

02:47:51 Hours
Number of reviews

5
Total enrolment

200
Avg rating
Short description
Ufundishaji na ujifunzaji unapaswa kuhusisha mbinu shirikishi ili kumwezesha mwanachuo kujenga maarifa, stadi na mwelekeo uliokusudiwa. Matumizi ya mbinu shirikishi humpa mwanachuo nafasi ya kushiriki kikamilifu katika mchakato wa ufundishaji na ujifunzaji. Ni muhimu mkufunzi kuandaa mazingira bora ya ujifunzaji ili kuchochea ari ya udadisi na ubunifu wakati wa ujifunzaji. Hivyo, sehemu hii imelenga kuboresha uelewa wa mkufunzi katika kuandaa shughuli mbalimbali pamoja na mbinu shirikishi za ufundishaji na ujifunzaji wa mada za somo la Hisabati ngazi ya astashahada (mfano: jometri, aljebra, takwimu, namba kamili, sehemu, faida na hasara, seti na namba nzima).
-
-
Requirements
  • Mkufunzi katika vyuo vya ualimu Tanzania
Outcomes
  • Kubainisha mbinu shirikishi zinazoleta ufanisi katika ufundishaji na ujifunzaji wa somo la hisabati
  • Kuandaa shughuli za ufundishaji na ujifunzaji wa somo la Hisabati zinazomshirikisha mwalimu tarajili katika mchakato wa ujifunzaji.
  • Kutumia mbinu shirikishi katika ufundishaji na ujifunzaji wa mada chaguzi za somo la Hisabati