Mbinu Shirikishi na Uchopekaji wa TEHAMA katika Ufundishaji na Ujifunzaji wa Hisabati

Ufundishaji na ujifunzaji unapaswa kuhusisha mbinu shirikishi ili kumwezesha mwanachuo kujenga maarifa, stadi na mwelekeo uliokusudiwa. Matumizi ya mbinu shirikishi humpa mwanachuo nafasi ya kushiriki kikamilifu katika mchakato wa ufundishaji na ujifunzaji. Ni muhimu mkufunzi kuandaa mazingira bora ya ujifunzaji ili kuchochea ari ya udadisi na ubunifu wakati wa ujifunzaji. Hivyo, sehemu hii imelenga kuboresha uelewa wa mkufunzi katika kuandaa shughuli mbalimbali pamoja na mbinu shirikishi za ufundishaji na ujifunzaji wa mada za somo la Hisabati ngazi ya astashahada (mfano: jometri, aljebra, takwimu, namba kamili, sehemu, faida na hasara, seti na namba nzima).

Intermediate 4(5 Ratings) 186 Participants enrolled English
Created by Math Centre
Last updated Mon, 20-May-2024
+ View more
Course overview

What will i learn?

  • Kubainisha mbinu shirikishi zinazoleta ufanisi katika ufundishaji na ujifunzaji wa somo la hisabati
  • Kuandaa shughuli za ufundishaji na ujifunzaji wa somo la Hisabati zinazomshirikisha mwalimu tarajili katika mchakato wa ujifunzaji.
  • Kutumia mbinu shirikishi katika ufundishaji na ujifunzaji wa mada chaguzi za somo la Hisabati
Requirements
  • Mkufunzi katika vyuo vya ualimu Tanzania
Curriculum for this course
20 Lessons 02:47:51 Hours
Utangulizi wa Mbinu Shirikishi
9 Lessons 00:43:57 Hours
  • Dhana ya Mbinu Shirikishi
    00:13:06
  • Zoezi ya Maada ya Dhana ya Mbinu Shirikishi
    0:05:00
  • MAJIDILIANO KUHUSU DHANA YA MBINU SHIRIKISHI
    .
  • Mifano ya Mbinu Shirikishi
    00:07:47
  • Zoezi la Maada ya Mifano ya Mbinu Shirikishi
    0:05:00
  • MAJIDILIANO KUHUSU DHANA YA MBINU SHIRIKISHI
    .
  • Kuandaa Shughuli za Ufundishaji
    00:08:04
  • Zoezi la mada ya kuandaa shughuli za ufundishaji
    0:05:00
  • MAJADALA WA MADA YA KUANDAA SHUGHULI ZA UFUNDISHAJI
    .
Matumizi ya Mbinu Shirikishi
6 Lessons 01:19:59 Hours
  • Mbinu ya Majadiliano
    00:07:32
  • Mbinu ya Maswali na Majibu
    00:11:06
  • Mbinu ya Changanya Kete
    00:08:31
  • Mbinu ya Fikiri Andika Jozisha Shirikisha
    00:20:36
  • Mbinu ya Ramani ya Dhana
    00:11:30
  • Mbinu ya Matembezi Msambao
    00:20:44
Uchopekaji wa Tehama
5 Lessons 00:43:55 Hours
  • Dhana ya zana za Kidigitali
    00:09:01
  • Kubainisha zana za kidigitali
    00:05:27
  • Kutathmini ubora wa zana za kidigitali
    00:12:25
  • Uundaji wa Maudhui ya Kidigitali
    00:07:12
  • Uchopekaji wa TEHAMA
    00:09:50
+ View more
Other related courses
About facilitator

Math Centre

10 Reviews | 206 Participants | 3 Courses
Participant feedback
4
5 Reviews
  • (1)
  • (0)
  • (0)
  • (3)
  • (1)

Reviews

  • Folkward Ngailo
  • JAMES MWANDEPU
    Vizuri
  • Azaria Ndyumyeko
  • Phadhili Mbilinyi
    Waooooooooooo
  • Alinanine Kapula
Free
Includes: