Published - Tue, 21 May 2024

MAJADALA WA MADA YA KUANDAA SHUGHULI ZA UFUNDISHAJI

MAJADALA WA MADA YA KUANDAA SHUGHULI ZA UFUNDISHAJI

Kuandaa shughuli  za ufundishaji na ujifunzaji wa somo la hisabati ni changamoto kubwa kwa wakufunzi walio wengi. Je, wewe unafanyaje kutatua changamoto hiyo?

Created by

Math Centre

mathcentre.ac.tz adminĀ 

View profile

Comments (10)

Adam Chaula
Adam Chaula
Napenda niwashirikishe tafakuri hii...
Kwenye somo la shughuli za ujifunzaji.
Hasa upande wa sifa za shughuli za ujifunzaji.
Kwa sababu ya kukosa fursa ya kushare picha hapa nitaelekea kwenye Telegram.
Sun, 02 Jun 2024
Wambura Wiboga
Wambura Wiboga
shughuli za ufundishaji ndizo humwezesha mwanafunzi kutenda na kujifunza maarifa tarajiwa
Sun, 02 Jun 2024
Alinanine Kapula
Alinanine Kapula
Naangalia malengo mahususi ndio yanayoniongoza kuandaa shughuli ambayo inapelekea kujubu malengo mahusi
Fri, 31 May 2024
GAUDENCE VINCENT
GAUDENCE VINCENT
Mimi huwa nazingatia mambo kadhaa katika kuandaa shughuli za ufundishaji kama vile lengo la kujifunza, viwango vya wanaojifunza, zana na mbinu nitakazozitumia kuwezesha na mazingira yatakayotumika kufundishia
Thu, 23 May 2024
Aloyce Charles
Aloyce Charles
Mwalimu tarajali kuandaa shughuli za ujifunzanji ni muhimu sana kwa sababu mwisho huja kujitathmini yeye mwenyewe ni kwa kiasi gani ameweza kutenda hicho kitu wa ufanisi mkubwa au mdogo.
Wed, 22 May 2024
 JOSEPHINE HIZZA
JOSEPHINE HIZZA
ninawapa ushauri juu ya umuhimu wa kuandaa shughuli za ufundishaji,kwani linamsaidia mwalimu kutotoka nje malengo yake
Wed, 22 May 2024
Elias Bosco
Elias Bosco
mbinu ni nzuri mnooo
Wed, 22 May 2024
Aidan Mlomo
Aidan Mlomo
nawashauri wanachuo kuwa hisabati ni somo la kawaida sana hivyo wajitahidi kujifunza kwa bidii sana kama masomo mengine na waachane na mitazamo hasi kuhusu hili somo
Wed, 22 May 2024
Beatrice  Ndyamukama
Beatrice Ndyamukama
Kubuni zana na mbinu shirikishi za kufundishia na kujifunzia na kuvunja vunja maudhui inayofundishwa kuwa shughuli ndogo ndogo za kutendwa na walimu tarajali
Updated Wed, 22 May 2024
Theodora  Silayo
Theodora Silayo
Mchakato Ufundishaji umeenda vizuri. Nishauri the kwenye kipengele Cha upimaji utunzi wa maswali ya kweli na SI kweli yazingatie kanuni same Ili kuepuka kutengeneza clue Kwa mpimwaji mfano kanusho ndani ya sentensi vinginevyo ni shirikishi
Wed, 22 May 2024
Search
Popular categories
Latest blogs