Published - Sat, 18 May 2024
Pamoja na ukweli kbwamba mbinu shirikishi zinaweza kuwa chombo chenye nguvu cha kuboresha ufundishaji na ujifunzaji. Kwa maandalizi, usimamizi makini, na utofautishaji, walimu wanaweza kutumia mbinu shirikishi kuunda mazingira ya kujifunza yenye ushirikishwaji na yenye ufanisi kwa wanafunzi wote. Je ni changamoto gani zinazoweza kutokea wakati wa kutumia mbinu shirikishi katika ufundishaji?
Tue, 21 May 2024
Sat, 18 May 2024
Sat, 18 May 2024
Write a public review